Mauzosheet ni nini?

Hii ni application ya kimtandao, ambayo imetengeneza mahususi kusaidia wafanya biashara wanaouza bidhaa kwa jumla na rejareja, kwa kuhifadhi taarifa na kuendesha biashara zao kwa urahisi na kisasa zaidi.
“Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa MauzoSheet”

Kujiunga na huduma hii unahitaji kujisajili kwa kubonyeza kitufe cha JISAJILI hapo juu na timu yetu ipo tayari kukuhudumia. Kwa tatizo lolote au msaada wasiliana nasi kwa njia zetu za mawasiliano, ili kuanza kufurahia huduma zetu.

Huduma zetu

Mauzo ya bidhaa.

"Uza, Kopesha bidhaa kwa msaada wa MauzoSheet"

MauzoSheet inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/kopesha, faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.

Ongoza biashara yako popote ulipo duniani.

Je, upo nyumbani, hotelini, shambani unakaguamazao yako au upo safarini kwenda kumsalimia bibi kijijini? MauzoSheet itakuambia nini kinaendelea dukani kwako, itakuambia Mteja akikopa, bidhaa gani inakaribia kuharibika (expire).

Unachotakiwa ni kuwa na kompyuta/Laptop au Simu iliyounganishwa na intaneti.

Ufafanuzi na mwenendo wa biashara yako!

Tuna amini wafanyabiashara mbalimbali wanakumbana na changamoto za kuhifadhi kumbukumbu za mauzo, matumizi, madeni, faida, hasara, malipo ya wafanyakazi, taarifa za wateja na kadharika. MauzoSheet inawezesha mfanyabiashara kuhifadhi taarifa hizo na nyingine nyingi kwa urahisi zaidi.

Mawakala.

Faidika kwa kua Wakala wa MauzoSheet.

Ukiwa kama Wakala wa MauzoSheet utafaidika kwa kupata gawio la asilimia ishirini (20%) ya makusanyo yote ya fedha yaliyo letwa na wateja uliowaunganisha kwenye huu mtandao wa kuendeshea biashara kisasa.

Unataka kutengeza fedha kijanja? Jiunge sasa na vijanawenzako kwenye MauzoSheet upige hatua kimaisha

Timu ya Mauzosheet

Thumbnail Image

Agustino Chami

C.E.O.

Dar es Salaam, Tabata.
+255(0) 713 169 114
tino@mauzotz.com

Thumbnail Image

Mussa Ambari

Operation Manager

Dar es Salaam, Buguruni.
+255(0) 714 019 466
mussa@mauzotz.com

Thumbnail Image

Sabri Pambwe

Developer

Dar es Salaam, Ubungo Kibo.
+255(0) 718 787 033
sabri@mauzotz.com

Thumbnail Image

Dan Henry

Production Manager

Dar es Salaam, Ilala.
+255(0) 653 666 201
dan@mauzotz.com

Wasiliana nasi

Tutumie Ujumbe / Maoni / Ushauri au Mapendekezo.